Friday, June 21, 2013

BE AWARE ON HOW ARE WE GOING TO USE YOUR MONEY WHEN FIDELIS WILL BE IN POWER
FINANCE INITIATIVE
·                     ALTERNATIVE SOURCE OF FUNDS
Create new events like inter universities bashes, host special events make investment and creating fundraising strategies so as to increase MUCSO revenues and funds for the benefits of all students.
·                     FINANCIAL REGULATIONS
To establish financial regulations that will supervise the finances of the MUCSO respecting Transparency and accountability.
FINANCIAL STATEMENT REPORT
·                     To amend the constitution so as to make the financial report to be viewed and scrutinized by the parliament and the students community.

·                     MUCSO BUDGET SCHEDULE
To display budget schedule that will define and show the MUCSO activities yearly so as to promote transparency, accountability and integrity.

KIONGOZI MZURI NI YULE ANYESIKILIZA WATU WAKE ANAYEWONGOZA

HAPA NI MGOMBEA URAISI WA MUCCSO BWANA FIDELIS ZACHARIA AKIPATA MAWAZO MBALIMBALI KUTOKA KWA WATU ANAYETARAJIA KUWAONGOZA

HIVI NDIVYO ATAKAVYO KUWA AKIFANYA BWANA MBALI NA KUWEPO KWA GENERAL ASSEMBLY. KWA SABABU ULE UWEZONGOZA VIZURI NI LAZIMA USIKILIZE WATU NINI WANATAKA, NINI HAWATAKI

TUMPE SUPPORT NDUGU YETU, KIONGOZI WETU ambaye atatusaidia kuondoa matatizo yetu hapa MUCCoBS

ZIJUE CHANGAMOTO ZA CHUO CHA USHIRIKA AMBAZO SASA AHUENI ITAPAITIKANACHANGAMOTO ZETU MUCCoBS – DURA YA UTENDAJI WETU 2012 – 2013
Chuo chetu kina changamoto nyingi
·         Hosteli za ndani na nje kutokidhi viwango na bei isiyoeleweka
·         Library kutotosheleza
·         Mikopo kwa wanafunzi kuchelewa na kuwekwa benki kwa nyakati tofauti
·         Vitabulisho vya afya kuchelewa watu kutotambua na kutosimamia haki yao ya huduma husika.
·         Kutokuwa na mkutano wa jumla (general Assembly)
·         Matokeo kutokupatikana kwa wakati na kwenye mtandao
·         Partial progressive report kwa finalist
·         Mgawanyiko wa kimadarasa, kozi, usitugawe bali uwe ni nguvu yetu.
·         Career Day – kuboresha, Ushiriki wa kozi zote.
·         Ongezeko la wanafunzi mwaka kulinganisha na madarasa tuliyonayo