Friday, June 21, 2013

TAMBUA KUWA WAKATI WA UONGOZI WA FIDELICY ZACHARIA KUTAKUWA NA GENERAL ASSEMBLYMGOMBEA KITI CHAURAISI FIDELICY ZACHARIA AMEAAHIDIKUWA KATIKA UONGOZI WAKE KUTAKUWA NA GENERAL ASSEMBLY, AMBAPO KILA MTU ATAPATA NAFASI YA KUTOA MAONI YAKE
HII NI KATIKA KUIMARISHA HAKI NA DEMOCRASIA NDANI YA CHUO CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS)
PIA AMEAAHIDI KURUDISHA MAHUSIANO MAZURI YALIYOPOTEA KATI YA WANAFUNZI NA SERIKALI YAO YA MUCCSO

HAYO AMEAAHIDI MCHANA WA LEO PALE KATIKA UKUMBI WA GEORGE KAHAMA

No comments:

Post a Comment