Tuesday, June 25, 2013

SIO VIBAYA SANA KURUDISHA KADI YA CHAMA KAMA UKIONA UNAPELEKWA KAMA KUKUKATIKA KUFANYA MAAMUZI HASA KATIKA MASUALA YA NANI ANAFAA KUONGOZA NCHI AU NAFASI YOYOTE ILE, SUALA HILI UWA LINAHITAJI UMAKINI MKUBWA SANA
 
WAFUASI WENGI WA BWANA MOLLEL WAMEWASILISHA KADI ZAO LEO KATIKA KAMBI YA BWANA FIDELIS BAADA YA KUGUNDUA KUWA MAHALI WALIPO SIO MAHALI SAHIHI HIVYO BASI BAADA YA KUGUNDUA HILO.

HAYO YAMEJIRI BAADA YA MDAHALO WA JANA AMBAO UMEDHIHIRISHA KWAMBA NANI ANAFAA KUWA RAISI WA MUCSO

KUNA MSEMO "KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA"

FIDELIS ALIONYESHA UWEZO WAKE KATIKA MDAHALO ULE, LAKINI PIA HATA KWA MAJUKWAA YA KAMPENI, PAMOJA NA SERA ZAKE AMBAZO ZINATEKELEZEKA NA ZIPO. NI UKWELI AMBAO UPO WAZI KABISA.
KWAMBA FIDELIS ZACHARIA NDIO CHAGUO LA WANAUSHIRIKA KUWA KIONGOZI WA MUCSO, AMBAE ATATETEA NA KUILINDA KATIBA YA MUCSO.
ATALETA UWAZI NA UKWELI KATIKA KILA JAMBO AMBALO LITAFANYWA NA SERIKALI YAKE.

KWANINI TUPOTOSHANE, WEWE UNAAKILI TIMAMU NA UNAWEZA UKACHAMBUA MAMBO NA KUFANYA MAAMUZI YALIYO SAHIHI.

 

FIDELISI NDIO CHAGUO LETU!!!!

TOGETHER WE SHALL WIN!!!!
LEO TUNA KWENDA KUMALIZA SHUGULI ZA KAMPENI