Suala la kucheleweshewa vitambulisho vya BIMA YA AFYA na pengine kukosa kabisa
Mgombea Uraisi Fidelis Zacharia Aahadi kulishughulikia ipasavyo atakopukuwa kwa uongozi wake
Pia Amegusia pia masuala vyakula katika mazingira yetu tunapo pata huduma kuwa yataboreshwa zaidi
HAYO AMEAYASEMA PALE SEMINAR ROOM NO: 4 NA WANAFUNZI WA CED II
FIDELIS ZACKARIA NDANI YA KAMPENI SEMINAR ROOM NO: 4
Na wanafunzi wa CED II
No comments:
Post a Comment