Friday, June 21, 2013

ZIJUE CHANGAMOTO ZA CHUO CHA USHIRIKA AMBAZO SASA AHUENI ITAPAITIKANACHANGAMOTO ZETU MUCCoBS – DURA YA UTENDAJI WETU 2012 – 2013
Chuo chetu kina changamoto nyingi
·         Hosteli za ndani na nje kutokidhi viwango na bei isiyoeleweka
·         Library kutotosheleza
·         Mikopo kwa wanafunzi kuchelewa na kuwekwa benki kwa nyakati tofauti
·         Vitabulisho vya afya kuchelewa watu kutotambua na kutosimamia haki yao ya huduma husika.
·         Kutokuwa na mkutano wa jumla (general Assembly)
·         Matokeo kutokupatikana kwa wakati na kwenye mtandao
·         Partial progressive report kwa finalist
·         Mgawanyiko wa kimadarasa, kozi, usitugawe bali uwe ni nguvu yetu.
·         Career Day – kuboresha, Ushiriki wa kozi zote.
·         Ongezeko la wanafunzi mwaka kulinganisha na madarasa tuliyonayo

No comments:

Post a Comment