Thursday, June 27, 2013

KUIPATA ROBO TATU HAPA MUCCOBS KAZI IPO!!MATOKEO YA KURA NI KAMA IFUATAVYO
MOLLEL=1089
FIDELIS=1353
KURA FEKI=44
ZILIZOHARIBIKA=44
JUMLA YA KURA ZOTE KUTOA FEKI=2479
IDADI YA WATU WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA=3640
ASILIMIA YA WATU WALIOPIGA KURA NI 68%
ILI MTU APATE USHINDI NI LAZIMA AFIKISHE ASILIMIA 75%
UCHAGUZI UNATAKIWA URUDIWE!!!
KWA HAPA USHIRIKA SIJUI KAMA KUTAKUJA PATIKANA RAIS

I CAN NEVER WASTE MY TIME AGAIN
KWA HERI UCHAGUZI MUCCoBS

MATOKEO YA UCAHGUZI LEO SAA MBILI KAMILI USIKU


BAADA YA TUME YA UCHAGUZI KUFANYA KAZI NGUMU YA BAADA YA MATATIZO YALIYOTOKEA.
SASA WAMEAMUA KUTOA RATIBA MPYA YA UCHAGUZI AMBAPO INAONYESHA LEO SAA MBILI MATOKEO YA UCHAGUZI ULIOFANYIKA JANA TAREHE 26/06/2013. ZOEZI HILO LITAFANYIKA PALE NYERERE HALL.

KARIBU USIKIE TUME WATAONGEA NINI

Tuesday, June 25, 2013

SIO VIBAYA SANA KURUDISHA KADI YA CHAMA KAMA UKIONA UNAPELEKWA KAMA KUKUKATIKA KUFANYA MAAMUZI HASA KATIKA MASUALA YA NANI ANAFAA KUONGOZA NCHI AU NAFASI YOYOTE ILE, SUALA HILI UWA LINAHITAJI UMAKINI MKUBWA SANA
 
WAFUASI WENGI WA BWANA MOLLEL WAMEWASILISHA KADI ZAO LEO KATIKA KAMBI YA BWANA FIDELIS BAADA YA KUGUNDUA KUWA MAHALI WALIPO SIO MAHALI SAHIHI HIVYO BASI BAADA YA KUGUNDUA HILO.

HAYO YAMEJIRI BAADA YA MDAHALO WA JANA AMBAO UMEDHIHIRISHA KWAMBA NANI ANAFAA KUWA RAISI WA MUCSO

KUNA MSEMO "KIZURI CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA"

FIDELIS ALIONYESHA UWEZO WAKE KATIKA MDAHALO ULE, LAKINI PIA HATA KWA MAJUKWAA YA KAMPENI, PAMOJA NA SERA ZAKE AMBAZO ZINATEKELEZEKA NA ZIPO. NI UKWELI AMBAO UPO WAZI KABISA.
KWAMBA FIDELIS ZACHARIA NDIO CHAGUO LA WANAUSHIRIKA KUWA KIONGOZI WA MUCSO, AMBAE ATATETEA NA KUILINDA KATIBA YA MUCSO.
ATALETA UWAZI NA UKWELI KATIKA KILA JAMBO AMBALO LITAFANYWA NA SERIKALI YAKE.

KWANINI TUPOTOSHANE, WEWE UNAAKILI TIMAMU NA UNAWEZA UKACHAMBUA MAMBO NA KUFANYA MAAMUZI YALIYO SAHIHI.

 

FIDELISI NDIO CHAGUO LETU!!!!

TOGETHER WE SHALL WIN!!!!
LEO TUNA KWENDA KUMALIZA SHUGULI ZA KAMPENI

Monday, June 24, 2013

TOGETHER WE SHALL WIN!!!!!!!!!!!!!

MAMBO NI POA


SHANGWE ZA JANA NYERERE HALL KWA BWANA FIDELISS KIONGOZI WA WATU BAADA YA MDAHALO

 HATA VIKUNDI VYA SARAKASI VIPO HAPA VIKITOA BURUDANI KWA WAFUASI WA FIDELIS

 WALE WAKALI WA MICHANO PIA WAPO WAKIONGOZWA NA Mr MUCCoBS 2012-2013 WAKITOA BURUDANI

MATUKIO KATIKA PICHA JANA NYERERE HALL BAADA YA MDAHALO KWA BWANA FIDELIS

 BAADA YA FIDELIS KUWAKOSHA ROHO WAFUASI WAKE SASA WAPATA BURUDUNI
NI RAHA ILIYOJE, FULL SHANGWE, USIENDE KMAHALI AMBAPO UTAPATA SHIDA
NJOO KWA FIDELIS ZACHARIA WEWE

 SHIDA SISI HATUTAKI BWANA TUACHE NA FIDELIS WETU
 NYERERE HALL MAHALI ULIPOFANYIKIA MDAHALO MKALI KABISA KUWAHI KUTOKEA HAPA MUCCOBS

MWONGOZAJI WA MDAHALO ULIOFANYIKA PALE NYERERE HALL

CHRISTOPHER MWANILA AKIJIBU SWALI
 MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI BWANA EZRA WANGO BA-CED III
AKIFUNGUA MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA MUCSOUCHAGUZI LEO PALE NYERERE HALL
 JOPO LA TUME YA UCHAGUZI WAKATI WA MDAHALO ULIOKUWA UKIFANYIKA PALE NYERERE HALL
 FIDELISI ZACHARIA NA MGOMBEA MWENZA CHRISTOPHER MWANILA


 MC ALIYEONGOZA MDAHALO WA WAGOMBEA URAISI PALE NYERERE HALL


 HIVI NDIVYO NYERERE ILIVYOFURIKA WAKATI WWA MDAHALO WA WAGOMBEA KITI CHA URAISI WA MUCSO


 WADAU WAKIWA MAKINI KATIKA MDAHALO WAKIWASIKILIZA WAGOMBEA WANAVYOJIBU MASWALI YAO


MOLLEL NA MGOMBEA MWENZA WAKE