Thursday, July 4, 2013

WANAUSHIRIKA TUSIKATE TAMAA TWENDE TUKAPIGE KURA KESHO TUMCHAGUE ALNOD TARIMO


BILA SHAKA KITENDO CHA UCHAGUZI KURUDIWA KIMEWAKWAZA WENGI KIASI KWAMBA WENGI WETU TUMESUSIA KURUDI TENA KWENYE VYUMBA VYA KUPIGA KURA KWA MARA YA PILI.

NDUGU ZANGU WANA USHIRIKA UAMUZI UNAOKWENDA KUFANYA SASA NI HAUNA MASHAKA KABISA. WE MCHAGUE ALNOD TARIMO

TWENDE MOJA KWA MOJA NA KUMCHAGUA BWANA ALNOD TARIMO AMBAYE NDIYE KIONGOZI SAHIHI KABISA KWA OFISI YA MUCSO.

TUSIKATE TAMAA NI SUALA LA DAKIKA TANO TU. USIKOSE KUTIMIZA WAJIBU WAKO ILI UPATE HAKI YAKO.

KESHO WOTE TWENDE KWA VYUMBA VYETU VYA KUPIGIA KURA TUMCHAGUE KIONGOZI WETU BWANA ALNOD TARIMO,

MTU MWENYE UWEZO NA BIDII KATIKA KAZI
MTU MWENYE KUISHI VIZURI NA WATU
MTU ANAYEJUA SHERIA VIZURI
MTU MWENYE UZOEFU KATIKA NYANJA YA UONGOZI
MTU MWENYE UPEO MKUBWA KATIKA KUFANYA MAAMUZI
MTU ANAYESIKILIZA MAONI YA WATU
MTU ANAYEJALI MATATIZO YA WATU

NI KIONGOZI AMBAYE AMELIONGOZA BUNGE KWA UAMINIFU MKUBWA NA AMEMALIZA SALAMA SALIMINI.

VOTE FOR ALNOD TARIMO!!

No comments:

Post a Comment